Kinara wa Nark Kenya Martha Karua alionekana amenyemelea Kinara Wa ODM , uku wandani wake Kina Ngilu wakionekana wametengwa kiasi.

Martha karua anaonekana Kuchukuwa Nafasi ya Kwanza kwa Siasa ya Raila odinga uku Kiongozi wa Narc Madam Bi Charity ngilu akionekana kikerwa na hatua hiyo.

Viongozi hawa wameonyesha hatua ya Kupigia Mrengo wa Azimio la Oka kenya huku wakizidi kukachifu Naibu wa Raisi Bwana Dr Wiliam ruto.

See also  Governor Ngilu calls for the unity of the former NASA Principlals

Facebook Comments Box